Thursday, November 28, 2013

MKUTANO MKUU WA KANISA LA KKT DAYOSISI YA KONDE WA XII WAFANYIKA MATEMA

KITUO CHA KIUTALII CHA KANISA LA KILUTHERI DAYOSISIS YA KONDE KILICHOPO MATEMA WILAYANI KYELA MKOA WA MBEYA, KITUO KILICHO UFUKWENI MWA ZIWA NYASAAMBAPO MKUTANO MKUU WA KANILA LA KKT WA DAYOSISIS YA KONDE MKUTANO WA XII UNAFANYIKA

BAADHI YA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU AMBAO KWA SASA NDIO WACHUNGAJI WASTAFU WAKIWA WANAJADILI MAMBO KABLA YA MKUTANO KUANZA

WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA KANISA LA KKT KUTOKA USHARIKA WA IKOMBE ULIO NG"AMBO YA ZIWA WAKIWASIRI MATEMA KWA AJILI YA MKUTANO

MTUMISHI WA MUNGU AKIWASILI KUTOKA USHARIKA WA IKOMBE ULIOPO  NG"AMBO YA ZIWA NYASAASKOFU DR ESRAEL PETER MWAKYOLILE AKIHUBIRI KATIKA IBADA YA UFUNGUZI WA MKUTANO WA XII AMBAPO ASKOFU MWAKYOLILE AMESEMA KUWA UPENDO NA MSHIKAMANO PAMOJA NA KUSAMEHEANA NDIO SIRAHA YA MKRISTO KUIFIKIA MBINGU

KWAYA YA WATOTO KUTOKA USHARIKA WA IPINDA WAKIWA KATIKA MKUTRANO MKUU WA KANISA KWA AJILI YA KUMSIFU MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI

KATIBU MKUU WA KANISA LA KKT DAYOSISI YA KONDE MCH IKUPILIKA MWAKISIMBA AKIELEZA RATIBA NZIMA YA MKUTANO KWA WAJUMBE

BAADHI WA WACHUNGAJI WASTAFU WAKITANMBULISWA MBEYA YA MKUTANO MKUU UNAOENDELEA MATEMA WILAYANI KYELA

MKUTANO UKIENDELEA KATIKA UKUMBI WA KANISA LA KKT USHARIKA WA MATEMA WILAYANI KYELA

KUSHOTO NI MSAIDIZI WA ASKOFU WA DAYOSISI YA KONDE MCH GEOFREY MWAKIHABA AKIWA NA WAGENI WAALIKWA NA WENYEJI WAKISIKILIZA NENO LA UFUNGUZI KWA UMAKINI

MCH AMBELE MWAIPOPO AKITOA SALAM ZA MAKAO MAKUU YA KANISA LA KKKT  ARUSHA AMBAPO YEYE ANAFANYIA KAZI HUKO

ASKOFU MKUU WA KANISA LA MORAVIANI TANZANIA ALINIKISA CHEYO YEYE NDIYE MUHUBIRI NA MFUNDISHAJI WA NENO KUU LA KICHWA CHA MKUTANO LINALOPATIKANA KITABU CHA BIBLIA . (KUMBUKUMBU TORATI 2 : 3) MLIVYOUZUNGUKA MLIMA HUUVYATOSHA;..

KINGOTANZANIA
0752881456
Post a Comment