Thursday, December 12, 2013

CHANNEL TEN SASA KUONEKANA DSTV


Meneja wa vipindi  wa Africa Media Group,Nicky Ngonyani (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) wakati walipoingia makubaliano ya kuonesha vipindi  vya Channel Ten kupitia DSTV,mkataba huo utawawezesha watanzania wote nchini kupata nafasi ya kuona vipindi vya channeli ten kupitia mfumo wa digitaliwa DStv (kulia) Meneja Ufundi wa Africa Media Group, Augustino Maganga (kushoto) Meneja Uhusiano wa Multchoice, Barbara Kambogi. 0002 
Meneja wa Multchoice, Barbara Kambogi, akifafanua kuhusiana na  vipindi vya DStv  SONY DSC 
Meneja Ufundi wa Africa Media Group, Augustino Maganga (kulia) Meneja wa vipindi  wa Africa Media Group,Nicky Ngonyani (katikati)  Meneja Uhusiano wa Multchoice, Barbara Kambogi.wakiwa wameshikana mikono kwa pamoja mara baada ya kusaini makubaliano yatakayowezesha vipindi  vya televisheni ya Channel Ten kuonekana kupitia  DStv,
0004 
Wadau wa habari wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada kumalizika kwa hafla hiyo.
Post a Comment