Thursday, December 12, 2013

DR. ASHA ROSE MIGIRO ALA KIAPO BUNGENI DODOMA LEO


Mbune wa Kuteuliwa , Dr. Asha Rose Migiro akiongozwa na Mpambe wa wa Bunge  na kusindindikizwa na badhi ya wabunge wa CCM kuingia Bungeni ili kuapishwa na Spika wa Bunge, Anne Makinda, Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9630 
PG4A9643 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali, Bungeni Mjini Dodoma, Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A9733 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, Bungeni Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PG4A9749 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Mwibara, Kangi Lugola nje ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Desemba 12, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment