Tuesday, December 31, 2013

KARIBU KIJIWE KIPYA CHA HILL VIEW HOTEL TUKUYU FURAHIA MKESHA WA MWAKA MPYA KWA KUPATA BURUDANI NA VINYWAJI PAMOJA NA VYAKULA MBALIMBALI FIKA BILA KUKOSA

KARIBUNI SANA HILL VIEW TUKUYU MJINI MTAA WA MAKANDANA

MUONEKANO WA UPANDE WA HOTEL YA HILL VIEW TUKUYU KIJIWE KIPYA MJINI TUKUYU

MKURUGENZI WA HILL VIEW TUKUYU HANCE MWAKISYALA AKIWA NA MR MBAGA WAKIWA KATIKA MAANALIZI YA MWISHO TAYARI KUZINDULIWA KWA HOTEL

MMOJA WA WASIMAMIZI WA HOTEL AKIWAJIBIKA KUPANGA VINYWAJI TAYARI KWA KUANZA KUUZA

SEHEMU YA BAR YA KWANZA AMBAPO KILA HUDUMA INAPATIKANA HAPA NDANISEHEMU YA CHUMBA CHA KULALA KIKIANDALIWA TAYARI KWA MATUMIZI KWA WAGENI

KULIA MKURUGENZI HILL VIEW HANCE MWAKISYALA AKIWA NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA RUNGWE ALIPOMTEMBELEA KUJIONEA KIJIWE KIPA CHA MARAHA

SEHEMU TU YA CHOONI

SEHEMU YA KUPASHIA MAJINI YA MOTO

SEHEMU YA KULIA CHAKULA KATIKA HOTEL YA HILL VIEW

UKIWA HOTELINI HAPA UNAJIONEA MAANDHARI NZURI YA MABONDE YA RUNGWE HADI KYELA PAMOJA NA ZIWA NYASA LINAONEKA VYEMA UKIWA HOTELINI HAPA
 KARIBUNI SANA HILL VIEW KIJIWE KIPYA CHA KUPUMZIKA NA KUPATA HUUMA ZOTE KWA UFASAHA NA USAFI WA HARI YA JUU, KARIBUNI MJIONEE WENYEWE

................................................

KARIBU KUSHEREKEA SIKU YA MWAKA MPYA KIVANGA TOP GARDEN PAMOJA NA USIKU WA MKESHA WA  MARAHA MPAKA MAJOGOO


KARIBUNI MJIONEE BURUDANI ZA KUKATA NA SHOKA KIVANGA TUKUYU

KULIA NI AMBAKISYE MTAALAMU WA NYAMA CHOMA KIVANGA TUKUYU KARIBUNI SANA PATA NYAMA CHOMA ILIYOIVISHWA VIZURI NA LAIN

KARIBU KIVANGA UTAPATA KILA UKITAKACHO

KIJIWE CHA CHAKULA KWA MWAKIBETE
MUONEKANO WA HALI YA HEWA MJINI TUKUYU SIKU YA MWISHO WA MWAKA 2013 MIKIWA NZURI ILA MIUNDOMBINU YA BARABARA IKIWA MIBOVU KUPINDUKIA WATENDAJI WA HALMASHAURI WAKIANGALIA KAMA HAWAONI

BARABARA ZA MJINI ZIKIWA ZIMEHARIKA KABISA HATA KUFANYIWA UKARABATI HAKUNA

HII BARABARA NDIYO INAELEKEA IKULU YA SERIKALI WILAYANI RUNGWE KILA SIKU VIONGOZI WANAPITA HAPA

HAPA NI LANGO LA KUINGILIA STAND MPYA NA NDIPO PANA KAMBA YA USHURU HUKU BARABARA IKIWA NDIO MTALO WA MAJI HAPA HAKUNA MITALO YA MAJI NA  MARAKEBISHO HAKUNA


HII BARABARA NDIO INAELEKEA HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE

BARABARA YA KUINGILIA HOSPITALINI MAKANDANDA

KIJIWE CHA AMOSI NA ALLY TUKUYU

KIJIWE CHA ALEX NA KABIGIO MZEE WA KILO WAKIWA KAZINI KUTANGAZA MATANGAZO YA UWEPO WA BURUDANI MBALIMBALI ZA MWAKA MPYA LAX NA CCM

KIJIWE CHA MZEE MWAKALINDILE TUKUYUMAARUFU KWA KUWEPO KWA KUMBUKUMBU ZA SIMU ZA KILA MTU ANAYEFAHAMINKA TUKUYU MJINI

KIJIWE CHA IMMA STAND YA TUKUYU MJINI MALUFI KWA BISI NA KEKI

ASKALI AKISURUHISHA UGONVI WA MAKONDAKTA STANDI YA TUKUYU

MISHIKAKI ISIYO SALAMA TUKUYU MJINI HUKU MABWANA AFYA WAKIFUMBIA MACHO UUZAJI HUU WA CHAKULA HUKU WILAYA YA RUNGWE IKIWA NI WILAYA YA PILI KWA USAFI TANZANIA

KAZI NI KAZI BOLA MKONO KWENDA KINYWANI

HEKA HEKA ZA MJINI TUKUYU JIONI
POLISI WAKIWA WANANGALIA HARI YA USALAMA MJINI TUKUYU

KINGO TANZANIA INAWATAKIA KILA LA HERI WALE WOTE WAITAKIAYO MEMA TANZANIA NA WATU WAKE PIA KILA MTU AINGIAYE HUMU NDANI NA ABARIKIWE KATIKA KAZI ZA MIKONO YAKE NA MUNGU ATUTANGULIE KATIKA MWAKA 2014 TUISHI KWA AMANI TANZANIA

Post a Comment