Tuesday, December 31, 2013

www.kingotanzania.blogspot.com INAWATAKIA KILA LAHERI KATIKA KUUANZA MWAKA MPYA WA 2014MUNGU TUNAYE MWAMINI NA KUMTUMIKIA KILA SIKU NAOMBA ANIPE HEKIMA YA KUISHI NA WATU WOTE PIA MUNGU WANGU IBARIKI KAZI YA MIKONO YANGU ULIYONIPA KWA NEEMA TU WABARIKI WALE WOTE WANITAKIAO MEMA NA UWABARIKI PIA KWA  LOLOTE WALIOMBALO KWA JINA LAKO

KWAHERI 2013 KARIBU MWAKA 2014
KINGOTANZANIA
0752881456
Post a Comment