Thursday, December 5, 2013

KINANA AICHANACHANA CHADEMA MBEYA, AMALIZA ZIARA KWA KISHINDO

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda bajaji tayari kwa kuelekea kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Luanda Nzovwe Mwanjelwa   jijini Mbeya akitokea ofisi za CCM mkoa wa Mbeya, huku Nape Nnauye naye akijiandaa kuinga kwenye bajaji. Kinana akiongozana na Ujumbe wake pamoja na viongozi wa mkoa wa Mbeya  na wilaya leo wametumia usafiri huo ili kuonyesha kwamba Chama hicho ni chama cha wananchi wa kawaida ambao ni wafanyakazi na wakulima tofauti na wenzetu wanaojifanya wanawatetea lakini wanakuja na Helikopta na kuwachangisha michango ya fedha kisha wanatokomea zao. Katika msafara huo pia yupo Dr. Asha Rose Migiro Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa na Mbunge wa kuteuliwa. 2 
Msafara ukielekea kwenye mkutano 4 
Vijana wa Mwanjelwa  wakiuzuia msafara wa Kinana wakati alipokuwa akielekea uwanja wa Luanda Nzovwe kwenye mkutano jambo lililofanya Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye watembeee  7Abdulrahman Kinana na Nape Nnauye wakitembea kwa miguu katika eneo la Mwanjelwa huku vijana wakiwashangilia 8Abdulrahman Kinana akiwa katika bajaji iliyomchukua 9 
Nape Nnauye akiwa katika Bajaji iliyombeba 10 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kushoto na Nape Nnauye Katibu wa NEC Siasa, Itikadi na Uenezi wakiwapungia mikono wananchi wakati wakielekea kwenye mkutano. 13 
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana pamoja na viongozi wengine wakiwa katika me. 17 
Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano  18 
Kada wa CCM aliyejiunga na CCM hivi karibuni akitoka chama. cha CHADEMA Braison Mwasimba akiunguruma katika mkutano huo 19 
Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye  akimwaga sumu katika mkutano huo. 20 
Msanii wa muziki wa kizazi Kipya Michael Senka mashairi jukwaani wakati mkutano huo ukiendelea leo . 24 
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro akitolea ufafanuzi wa mbolea ya Minjingu ambayo imekataliwa na wananchi wa mkoa wa Mbeya huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisikiliza 25 
Kada wa Chama cha Mapinduzi Tambwe Shitambala akizungumza katika mkutano huo.
Post a Comment