Wednesday, December 18, 2013

KWA MALA YA KWANZA KUSIKIA NA KUJIONEA BASI LA NEW FORCE LIKITEKELEZA PUNGUZO LAKE LA BEI KUTOKA TSH 40,000/= HADI TSH 35,000/= KWA MSIMU HUU WA CHRISMAS HUKU KAMA KAWAIDA MABASI MENGINE YAKIPANDISHA BEI ZA NAULI PAMOJA NA UTAPELI UNAOFANYIKA KWA ABILIA


KWA USAFIRI WA UHAKIKA WA MIKOANI FIKA OFISI ZA NEW FORCE  ILI KUFAIDIKA NA PUNGUZO LA BEI MSIMU WA CHRISMASI

BEI ZA PUNGUZO LA BEI KWA KIPINDI CHA CHRISMAS UNASHAURIWA KUFANYA BOOKING MAPEMA SANA ILI KUWA NA UHAKIKA WA KUSAFIRI UENDAKO

Post a Comment