Wednesday, December 18, 2013

WILAYA YA RUNGWE MKOANI MBEYA NA MIUNDOMBINU YA BARABARA MIBOVU, WAHUSIKA WAKISHUHUDIA IKIENDELEA KUCHAKAA ..

MASHIMO MATUPU MBELE YA OFISI YA HALMASHAURI YA RUNGWE KWENDA OFISI YA MKUU WA WILAYA HUKU WAHUSIKA WAKIPITA KATIKA BARABARA HIZI KILA SIKU BILA HATA YA KUCHUKUA HATUA ZA MAKUSUDI KUZITENGENEZA

KAMA BARABARA ZA MJINI TUKUYU HAZITENGENEZWI JE VIJIJINI ZITAPITIKA NA MSIMU WA MVUA NDIO UMEANZA SIJUI WAHUSIKA WAPO AU WAMELALA?

WAZO LAKUWA NA STANDI MPYA AMBAYO ZAMANI ULIKUWA UWANJA WA MPIRA SASA UMEJAA MADIMBWI YA MAJI NA MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA NDIO BALAA

HII NI BARABARA YA KATIKATI YA MJI WA TUKUYU ITOKAYO OFISI YA HALMASHAURI YA RUNGWE KWENDA STANDI MPYA YA DARADARA

KATIKATI YA MJI WA TUKUYU BARABRA NI MBAYA HAKUNA MFANO

MUONEKANO WA MOJA YA MITALO ILIYOPO TUKUYU MJINI NA WAHUSIKA WAPO WANAANGALIA TU

GALI LA ABILIA NA MIZIGO LIKITOKA STAND MPYA LIKIELEKEA LWANGWA LIKIWA LIMEKWAMA MBELE YA OFISI YA KATIBU TARAFA TUKUYU MJINI , HAPA NI MJINI KABISA NA MBELE YA OFISI YA SERIKALI LAKIN WAHUSIKA WAPO WANAANGALIA WAKIONA NA KUFUMBA MACHO HUKU WAKIPITA HAPA KILA SIKU

KILA MTU ANASHANGAA HALI ILIYOPO SASA KATIKA MIUNDOMBINU YA BARABARA ZA MJINI TUKUYU AMBAPO ZIMEHARIBIKA HAZIFAI KABISA KWAMATUMIZI YA MAGALI

BAADA YA MUDA WA KULISUKUMA GALI LIMENASUKA KWENYE TOPE ABILIA WAKIKIMBILIA KWENDA KUPANDA TAYARI KWA SAFARI YA KUELEKEA LWANGWA NA VITONGOJI VYAKE
LIWEZEKANALO KUKARABATI HIZI BARABARA LIFANYIKE KULIKO KUZIACHA BARABARA KUWA MBAYA KAMA VILE WATENDAJI WA HALMASHAURI KWA MAANA YA MKURUGENZI NA BARAZA LAKE LA MADIWANI AKIWEPO MSIMAMIZI WA AMANI KUU WA WILAYA YA RUNGWE  WAKIFUMBIA MACHO BARABARA MBOVU WILAYANI RUNGWE KIUKWELI NI AIBU SANA.

KINGOTANZANIA
Post a Comment