Saturday, December 14, 2013

KWAPAMOJA NAOMBA TUMSHUKURU SANA MUNGU KWA KUNILINDA HADI KUFIKIA SIKU YANGU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWANGU PIA NI SIKU NIKUMBUKAYO BABA YANGU MZEE KINGO MWAKA SASA ALIPOFARIKI KATIKA SIKU YANGU YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA KWANGU. NAMSHUKURU MUNGU KWA WOTE MNAO SHIRIKI NAMI KATIKA MAJONZI YANGU NA FURAHA. MUNGU AWABARIKI SANA NA TUOMBEANE MEMA KWA MUNGU.

MUNGU WANGU BARIKI KAZI YA MIKN YANGUPAMJA NA MAJARIBU YA DUNIA LAKIN MUNGU HAJANIPUNGUKIA KWA WEMA WAKE

MUNGU WANGU NAOMBA NIWE MTU MWEMA MBELE ZAKO NA WATU WAKO PIA KUWA MZALENDO KWA NCHI YANGU YA TANZANIA

NIKIWA KIJIJINI MZENGA WILAYA YA KISALAWE MKA WA PWANI  NA BABA MKUBWA MZEE KINGO TUKIONGEA MAWILI MATATU

KINYWAJI CHETU UZARAMONI

NIKIWA NIMTMBELEA KUZURU KABURI LA BABA YANGU MZEE RAMADHAN MOHAMMED KINGO KATIKA MAZIARA YA MZEE KINGO

MZEE MOHAMMED KINGO SIKU NILIPOZALIWA ALIPANA MNAZI HUU HIVYO NAHESHIMU SANA KUWEPO NA MNAZI ULIONA UMLI WANGU UKIENELEA KUTOA HUDUMA YA CHAKULA KIJIJINI KWETU MZENGA

Post a Comment