Wednesday, December 11, 2013

RAIS DKT. KIKWETE AHUDHURIA IBADA YA KUMBUKUMBU YA KIFO CHA MZEE MADIBA

NGI_3387  
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete wakati wa ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg NGI_3513 NGI_3514 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Rais Barack Obama wa Marekani kwa viongozi mbalimbali wa Afrika wakati wa ibada ya kumbukumbu ya Mzee Nelson Mandela Uwanja wa FNB jijini Johannesburg Jumanne Novemba 10, 2013
PICHA NA IKULU
 

Jacob Zuma na wake za Mandela Winnie na Graca watoa heshima za mwisho kwa Nelson Mandela

article-2521757-1A052DEA00000578-255 964x966 f8321
Gari maalum lililobeba mwili wa Marehemu Mzee Nelson Mandela likitokea Hospitalini na msafara kuelekea sehemu maalum iliyoandaliwa kwa ajili ya watu maarufu kutoa heshima za mwisho.
article-2521757-1A0533E900000578-113 964x567 62801
Raia wa Afrika Kusini wakiwa wamejipanga kando kando ya barabara kutoa heshima zao za mwisho kwa Mzee Nelson Mandela.
article-2521757-1A056EB600000578-301 964x691 16850
Mwili wa Mzee Nelson Mandela ukiwasili kwenye jengo lililopo mji mkuu wa nchi hiyo Pretoria, ambapo utalala kwa siku tatu kuruhusu Raia wote wa Afrika Kusini na Dunia kwa ujumla kutoa heshima zao za mwisho.
article-2521757-1A06092C00000578-176 964x833 f819d
Mke wa kwanza wa Mzee Nelson Mandela akionekana na majonzi mazito akielekea kutoa heshima za mwisho kwa mumewe wa zamani.
article-2521757-1A06339300000578-927 964x622 d13e0
Mwanamindo wa Kimataifa Naomi Campbell alishindwa kuzuia hisia zake baada ya kuona jeneza la Mzee Nelson Mandela likiwasili kwenye viwanja hivyo tayari kwa kutoa heshima za mwisho.
article-2521757-1A06380200000578-720 964x646 bbc5c
Rais Jacob Zuma na mkewe wakitoa heshima za mwisho.

No comments: