Monday, January 20, 2014

AJALI MBAYA YATOKEA MBALIZI MAGARI ZAIDI YA MATANO YAGONGWA. Magari yakiwa yamegongwa Mbalizi Mbeya

Watu mbalimbali wakiwa wanashangaa ajali hiyo iliyosababisha Gari moja kugonga magari mengine zaidi ya matano
Mashuhuda wakiwa wanashuhudia ajali hiyo


Watu wakiwa wanaongezeka kushuhudia ajali hiyoPICHA NA MBEYA YETU B
Post a Comment