Monday, January 20, 2014

RAIS JAKAYA KIKWETE KAWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU DAR LEO

Rais Jakaya Kikwete na Makamu wa Rais Dr. Gharib Bilal wakiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri Mbalimbali wapya mara baada ya kuwaapisha kwenye viwanja vya ikulu leo ambapo viongozi mbalimbali wa serikali na waalikwa wamehudhuria na kushuhudia   02 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, akiwa na mkewe aliyewahi kuwa Miss Tanzania, Faraja Kotta na  familia yake, baada ya kuapishwa katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam, leo. Kulia kwa Makamu ni Naibu Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba.   003 
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Adam Malima, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, 03 
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Charles Kitwanga, kuwa Naibu Waziri wa Nishati na Madini, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, 
  005 
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Amos Makala, kuwa Naibu Waziri wa Maji, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, 
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jenista  Mhagama, kuwa Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, Dar es Salaam 007 
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Dkt. Pindi Chana, kuwa Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, 
  008 
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mwigulu Nchemba, kuwa Naibu Waziri wa Fedha, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam, 009 
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Juma Nkamia, kuwa Naibu Waziri wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es  10 
 Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Mahmoud Mgimwa, kuwa Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, katika hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam,  11 
Baadhi ya viongozi waandamizi wa serikali wakiwa katika hafla hiyo. 12 
Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika hafla hiyo

No comments: