Sunday, January 5, 2014

BARABARA ZA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MBAYA WAHUSIKA WAFUMBIA MACHO KAMA HAWAONI UBOVU UNAOENDELEA KUWAPA HASARA WANANCHI NA WALIPA KODI

MFANYA BIASHARA WA MAZIWA AKIJARIBU KUOKOA MAZIWA BAADA YA KUTELEZA NA KUTAKA KUANGUKA KWENYE SHIMO LINALOENDELEA KUCHIMBIKA KATIKA BARABARA YA HALMASHAURI YA RUNGWE KUELEKEA CCMAKIONDOKA KWA HASIRA HUKU MAZIWA YOTE YAMEMWAGUKA NA HUU NDIO MUONEKANO WA BARABARA INAVYOENDELEA KUHARIBIKA HUKU WAHUSIKA WAKIANGALIA BILA YA KUSHUGHURIKIA

BARABARA IMEHARIBIKA MBELE YA OFISI YA SERIKALI WAHUSIKA WANAANGALIA TU

OFISI YA www.kingotanzania. IPO KWENYE VYUMBA VYA JUU HAPO                   MAANA WATU WAPITAO NJIA HII WAKIFIKA HAPA UTASIKIA KILA AINA YA MATUSI NA KEJELI KWA VIONGOZI WA WILAYA YA RUNGWE KWA KUTOWAJIBIKA KUTENGENEZA BARABARA ZA MJINI TUKUYU KWA KUWA KARIBU BARABARA ZOTE MJINI TUKUYU ZIMEHARIBIKA NA WAHUSIKA UKIWAULIZA WANAJIBU MAJIBU MEPESI YASIYORIDHISHA KABISA

MMOJA WA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA WILAYA YA RUNGWE KAMERA ILIMFUMA AKISHANGAA SHIMO BAADA YA GALI LAKE KUGONGA JIWE

HAPA NI MBELE  YA JENGO LA OFISI YA HALMASHURI YA RUNGWE  NA BENK YA NMB TUKUYU
 
MAGALI YANASHIDWA KABISA KUPITA

BARABARA YA LAMI KUELEKEA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA IMEHARIBIKA HAKUNA MFANO WAHUSIKA WAPO TU WANANANGALIA NA WANAPITA KILA SAA HAPA

HII BARABARA ISHAKUWA MIFEREJI YA MAJI KUELEKEA STANDI KUU

HAPA NI KUELEKEA TUKUYU HOSPITAL NA NDIO HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE

KIUKWELI BARABARA ZA TUKUYU MJINI NI MBAYA SANA WALA HAZIFAI KABISA KWA MATUMIZI UKIZINGATIA MVUA ZA TUKUYU WILAYANI RUNGWE NDIO KWANZA ZINAANZA JE ZIFIKAPO MVUA ZA MASIKA ITAKUWAJE?

WENYE MAGALI KAMA HAYA WANAPITA TU WALA HAWAWEZI KUGUNDUA UBOVU WA BARABARA ZA WILAYANI RUNGWE

Post a Comment