Thursday, January 16, 2014

KWAMALA YA KWANZA BARAZA LA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE MKOA WA MBEYA LAZINDULIWA RASMI

BAADHI YA WAJUMBE WA BARAZA LA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE WAKIWA NA VIONGOZI WA SKAUTI MKOA WA MBEYA NA WILAYA YA RUNGWE IKIWA NI SIKU YA UFUNGUZI WA BARAZA LA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE

KULIA NI AFISA MICHEZO UTAMADUNI WILAYA YA RUNGWE MR ENZ SEME AKIMUWAKIRISHA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA  KUFUNGUA NA KUSIMAMIA UCHAGUZI WA VIONGOZI WA BARAZA LA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE. HIVYO KWAKUWA NI MALA YA KWANZA WILAYA YA RUNGWE KUWA NA BARAZA LA SKAUTI AMEWATAKA WAJUMBE WA BARAZA HILI KUWA WAADILIFU KATIKA KUWAONGOZA VIJANA WA KITANZANIA KUWA WAZALENDO NA NCHI YAO

KAMISHINA WA SKAUT MKOA WA MBEYA AKIONGEA NA WAJUMBE WALIOCHAGULIWA KUWA KUUNDA BARAZA LA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE

KAMISHINA WA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE AKIONGEA NA WAJUMBE WALIOCHAGULIWA KUWA KUUNDA BARAZA LA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE

KUSHOTO NI ALLY KINGO AMBAYE AMECHAGULIWA KUWA KATIBU WA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE AKIMKABIDHI MWAKILISHI WA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA MAJINA YA VIONGOZI WALIO CHAGULIWA KUONGOZA BARAZA LA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE

MHE, HAKIMU MKAZI WILAYA YA RUNGWE JULIANA NANKOMA KACHAGULIWA KUWA MTUNZA HAZINA WA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE

SHEKN A. KINANA AMBAYE NI SHEHE WA WILAYA YA RUNGWE AKIWA NA WAJIBU WA KUWA MJUMBE WA BARAZA LA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE. AMEWATAKA SANA VIJANA KUZINGATIA MAADIRI YA KITANZANIA KWANI VIJANA WENGI WAMEPOTOKA SANA KWA KUACHA KUZINGATIA MASOMO NA YAO  PIA AMESEMA VIJANA WAACHE KUJIHUSISHA NA KILEVI NA HASA MADAWA YA KULEVYA


MAKAMU MWENYEKITI WA BARAZA LA SKAUTI WILAYA YA RUNGWE Fr, PROJESTUS KAHITWA,  AKIONGEA KWA NIABA YA MWENYEKITI  YOHANA SANGA . AMEWASHUKURU WAJUMBE KWA KUWAAMINI KUWAPA JUKUMU LA KUONGOZA AU KUSIMAMIA MAADIRI YA VIJANA HASA MASHULENI AMBAPO WILAYA YA RUNGWE NDIO WILAYYA INAONGOZA KUWA NA SKAUTI WENGI 3500 KULIKO WILAYA ZA MKOA WA MBEYA

JUKUMU KUBWA LA SKAUTI MASHULENI NA VIKUNDI VYA MTAANI SKAUTI NI KUWAJENGEA UWEZO VIJANA KUWA WAZALENDO NA NCHI YAO HIVYO VIJANA WANAFUNDISHWA UTII ,UADIRIFU,UKAKAMAVU HASA KUSAIDIA JAMII KATIKA SHUGHURI ZOZOTE ZINAZIIKABIRI JAMMII INAYOKUZUNGUKA

No comments: