Tuesday, January 7, 2014

MAAFA MAKUBWA MJINI TUKUYU WILAYANI RUNGWE BAADA YA MVUA KUBWA ILIYOAMBATANA NA UPEPO MKALI ULIO EZUA MAJENGO MUHIMU HOSPITAL NA OFISI ZA SERIKALI NYUMBA ZA WATU NA UHARIBIFU WA MAZAO

OFISI YA ELIMU NA UJENZI WILAYA YA RUNGWE IKIWA IMEEZURIA NA UPEPO ULIOAMBATANA NA MVUA

OFISI YAAFISA MTENDAJI WA KATA YA MSASANI IKIWA IMEANGUKIWA NA MTI


KULIA KAIMU MKURUGENZI GWABO MWAMSASU AKIWA ANAJIONEA UHARIBIFU ULIOTOKEA BAADA YA MVUA KUBWA ILIYONYESHA MJINI TUKUYU WILAYANI RUNGWE

KULIA KAIMU MKURUGENZI GWABO MWANSASU WA HALMASHAURI YA RUNGWE KATIKATI NI VALENTINO MBAI AFISA UTUMISHI WILAYA YA RUNGWE NA DELEVA WA GALI LA MKURUGENZI MR MWAKAPALA WAKIJADIRI YALIYOTOKEA WILAYANI RUNGWE KUTOKANA NA MVUA KUBWA ILIYOAMBATANA NA UPEPO MKALI
JENGO LA HOSPITAL YA WILAYA YA TUKUYU AMBALO SEHEMU LIMEEZURIWA NA UPEPO ULIOAMBATANA NA MVUA KUBWA

MOJA YA MITI IKIWA IMEANGUKANYAYA ZA UMEME ZIMEANGUA CHINI BAADA YA NGUZO ZA UMEME KUANGUKA

MITI ILIYOANGUKIA BARABARANI

MOJA YA MASHAMBA YA NDIZI ZIKIWA ZIMEANGUKA


MOJA YA NYUMBA AMBAZO ZIMEEZURIWA DISH

MOJA YA MASHAMBA YA MAHINDI YALIYOATHIRIKA NA MVUA ILIYOAMBATANA NA UPEPO MKALI
KINGOTANZANIA
0752881456
Post a Comment