Monday, January 6, 2014

TAARIFA YA AWALI YA MASIBA WA ASKALI SSGT BENADETHA BONIFASI OLOMI ALIYEFARIKI KWA KUGONGWA NA GALI AKIWA KAZINI (TRAFKI) MAENEO YA MCHANGANI ISONGOLE TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

MAREHEMU SSGT BENADETHA BONIFASI OLOMI ENZI ZA UHAI WAKE 
 1959  -  2014

 MAREHEMU AMEACHA MUME MMOJA EZEKIEL KARABANI MWANDETELE MKAZI WA SYUKULA WILAYANI RUNGWE NA MAZIKO YATAFANYIKA KIJIJINI HAPO  SIKU YA JUMATANO TAREHE 08.01.2013 NYUMBANI KWAKE SYUKULA JUU PIA MAREHEMU AMEACHA WATOTO WATANO NA WAJUKUU WAWILI


BAADHI YA MAASKALI WA KITUO CHA POLISI CHA TUKUYU WAKIWA KATIKA MAZUNGU MZO YA HAOA NA PALE KWA AJILI YA KUFANIKISHA MAZIKO YA MAREHEMU BENADETHA


MAARUFU KA CHEAF MWANKENJA WA KIWIRA AKIWEKA SAINI KATIKA DAFTALI MAOMBOLEZO

BAADHI YA MAASKALI WENZAKE NA BENADETHA KITUO CHA POLISI TUKUYU WAKIWA NA NYUSO ZA HUZUNI KATIKA MSIBA WA MWENZAO MAREHEMU BENADETHA

MKUU WA KITUO CHA TUKUYU OCS - JAMES CHACHA RHOBI AKIWA ANAONGOZA KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAZIKO YA ASKALI BENADETHA OLOMI MAZIKO YATAKAYO FANYIKA JUMAATANO TAREHE 08.01.2014 KATIKA KIJIJI CHA SYUKULA WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

KAKA WA MAREHEMU BENADETHA MR HIPOLITI BONIFAS AKIWA NA MAJONZI YA KUONDOKEWA NA MDOGO WAKE


KIKAO CHA MAANDALIZI YA MAZIKO KINAENDELEA

KUSHOTO ALIEMSHIKA MTOTO NI MTOTO WA MAREHEMU NA WENGINE NI WAKAZI WA MJINI TUKUYU WAKIWA MSIBANI

MAJIRANI NA KITUO CHA POLISI AKIWEPO KULIA MAMA GODFREY KALANJA WAKIWA MSIBANI

HII NDIO GALI LILILOSABABISHA KIFO CHA MAREHEMU BENADETHA OLOMO


MAASKALI WENZAKE NA MAREHEMU KATIKA KITUO CHA POLISI TUKUYU WAKISHANGAA GARI LILILOSABABISHA KIFO CHA ASKALI MWENZAO AKIWA KAZINI MAENEO YA NDAGA MCHANGANI WILAYANI RUNGWE
BAADHI YA MADELEVA WA MJINI TUKUYU NA MBEYA WAKICHANGISHA RAMBIRAMBI KUWA AJILI YA MSIBA WA SSGT BENADETHA OLOMI

KITUO CHA POLISI TUKUYU NA NDIPO DELEVA WA GALI ILIYOSABABISHA AJALI MR ELNEST NDOA MKAZI WA ITUNGI KYELA ANASHIKILIWA BAADA YA KUSABABISHA KIFO CHA MAREHEMU BENADETHA OLOMI AKIWA KAZINI MAENEO YA MCHANGANI NDAGA WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA
 UTARATIBU WA MAZIKO UNAENDELEA KUSHUGHURIKIWA KWA KUWA WATOTO WA MAREHEMU NA NDUGU ZAKE WAKO MBALI HIVYO KUFANYA MAZIKO KUFANYIKA SIKU YA TAREHE 08.01.2014
Post a Comment