Tuesday, January 14, 2014

WANANCHI WA WILAYA YA RUNGWE WAHAMASIKA KUPANDA MITI ILI KUTUNZA MAZINGIRA. ZOEZI LIMEONGOZWA NA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA SIKU YA KUGAWA MITI MBALIMBALI ILIYOZALISHWA NA HALMASHAURI YA RUNGWE NA KUGAWIWA WANANCHI BILA MALIPO

MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WANANCHI WA WILAYA YA RUNWE, HAWAPO PICHANI SIKU YA KUGAWA MITI MBALIMBALI ILIYOZALISHWA NA HALMASHAURI YA RUNGWE ILI KUWAGAWIA WANANCHI WA RUNGWE BILA MALIPO ILI KUHAMASISHA SUALA LA KULINDA NA KUHIFADHI MAZINGIRA. HIVYO MKUU WA WILAYA AMEWATAKA WANA RUNGWE KUPENDA KUPANDA MITI ILI KULINDA MAZINGIRA YA UHARISIA WA RUNGWE AMBAO KIPINDI CHA MWAKA MZIMA MVUA INANYESHA NA KUSABABISHA WILAYA KUWA NA NEEMA YA VYAKULA NA MATUNDA PIA  MAJI YANAPATIKANA KWA WINGI
MMOJA WA WADAU MA MAZINGIRA WILAYANI RUNGWE

KAKA MKUBWA IMMA KATULE AKITETA JAMBO NA AFISA MALIASILI WAKATI WA UGAWAJI WA MITI KWA WANANCHI WA WILAYA YA RUNGWE



KULIA AFISA MALIASILI PETER CHIBWAYE AKIWA MAKINI KUHESABU MITI ILI KILA MTU ALIYEJITOKEZA KUPATA JAPO MITI NA KWENDA KUPANDA SHAMBANI KWAKE

KULIA MDAU WA KINGOTANZANIA ADAM KAKYOTA AKIWA ANAPATA MITI TAYARI KWA KWENDA KUPANDA SHAMBANI KWAKE

WADAU WA MAZINGIRA WAKIPAKIA MICHE YA MITI KWENYE GALI TAYARI KWA KUIPNDA KATIKA MASHAMBA YAO


KULIA MHE, BONNY MWASIKILI AKIWA NA WAHESHIMIWA MADIWANI WENZAKE WAKIANGALIA UGAWAJI WA MITI KWA WANANCHI WA WILAYA YA RUNGWE WALIOJITOKEZA KUCHUKUA MITI ILI KUPANDA KATIKA MAENEO YAO

MKUU WA SHULE YA MMBAKA WILAYANI RUNGWE MWL SHIJA MAKINGO AKIONGEA NA KINGO TANZANIA JINSI SHULE YAKE INAVYO SHIRIKI SUALA LA KUTUNZA MITI KWAKUWA SHULE YAKE WAMEJIWEKEA LENGO LA KUPANDA MITI 3000 KILA MWAKAKATIKA MAZINGIRA YAO NA YA KIJIJI

KUSHOTO  NI DJ ALEX AKIWA NA MKEWE ALIE KUSHOTO WAKIWA WANASUBIRI ZAMU YA KUPATA MITI ILI KWENDA KUPANDA KATIKA SHAMBA LAO

MKURUGENZI WA MJI MDOGO WA TUKUYU KUSHOTO AKIWA NA VIJANA WA TUKUYU KATIKA ZOEZI LA KUGAWA MITI MBALIMBALI KATIKA KITALU CHA HALMASHAURI YA RUNGWE

NAYE KINGO HAKUWA MBALI NA ZOEZI LA KUPATA MITI

KULIA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIWA NA AFISA MALIASILI WILAYA YA RUNGWE PETER CHIBWAYE WAKIWASIKILIZA KWA MAKINI VIONGOZI WA SKAUT WILAYA YA RUNGWE RATIBA YAO YA KUPANDA MITI KATIKA VYANZO VYA MAJI

MHE DIWANI KATA YA MSASANI AKIWA ANAMSAIDIA KINGO KUPIGA PICHA BAADA YA KUONA KINGO YUKO BIZE NA KUCHUKUA MITI

KAZI NZITO MARY KINGO AKIWA HOI BADA YA BOX ALILOBEBEA MITI KUHARIBIKA LAKINI LAZIMA MITI IFIKE SHAMBANI NA KUPANDWA

PETER CHIBWAYE AMESEMA KUWA KILA MWAKA INAANDAA VITARU VYA MITI NA MUGAWA KWA WANANCHI WAKE BULE ILI KUENDELEZA NA KUHIFADHI MAZINGIRA YA WILAYA YA RUNGWE. AKIELEZEA MUITIKIO WA WANANCHI KUHIFADHI MAZINGIRA, PETER CHIBWAYE AMESEMA KUWA WANANCHI WANITIKIA SANA UPANDAJI WA MITI NA NDIO MAANA WILAYA YA RUNGWE NI SEMEMU PEKEE YENYE KIJANI MWAKA MZIMA KWA KUPATA MVUA ZA KUTOSHA HIVYO AMEITAKA HALMASHAURI KUONGEZA BAJETI YA UANDAAJI WA VITALU VYA MITI KATIKA MAENEO YA KATA ILI WANANCHI WALIO VIJIJINI KUFAIDIKA NA MRADI HUU WA KUGAWA MITI ILIYOZARISHWA NA SERIKALI NA KUGAWIWA KWA WANANCHI BULE

No comments: