Thursday, January 9, 2014

WATU WAWILI WAFARIKI DUNIA KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO BAADA YA KUTUHUMIWA KUIBA BODABODA ,ENEO LA MLIMA NYOKA MBEYA

 Miili ya Marehemu ikiwa imetelekezwa katika mlima nyoka
 Miili ya Marehemu baada ya kupigwa vibaya
 Kiatu vya mmoja wa marehemu aliye uawa
Hapa ni eneo marehemu walipo jaribu kukimbia

Baadhi ya mashuhuda akiwemo mwenyekiti wa Bajaji wa pili kushoto na watatu mwenye begi mgongoni mwenyekiti wa Bodaboda wakiwa eneo la tukio Mlima Nyoka
  Ezekiel Kamanga (Mbeya yetu )
Post a Comment