Sunday, February 9, 2014

CCM YASHINDA KWA KISHIDO UCHAGUZI MDOGO KATA YA MALINDO WILAYANI RUNGWE


MSAFARA UKILEJEA MJINI TUKUYU KUTOKA KATA YA MALINDO BAADA YA UCHAGUZI KUISHA KWA AMANI NA CCM KUSHINDA UCHAGUZI HUO

CCM IMESHINDA KWA KISHINDO KATIKA UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA YA MALINDO WILAYANI RUNGWE AMBAPO MGOMBEA WA CCM NELSON MWAIKAMBO AMESHINDA KITI CHA UDIWANI KWA KULA 737 AKIFUATIA NA MGOMBEA WA CHADEMA NIKODEM MWAKALILE AKIPATA KULA 408 NA MWISHO NI MGOMBEA WA TIKET YA CHAMA CHA TLP AKIPATA KULA 51

AKITANGAZA MATOKEO YA UCHAGUZI MDOGO WA KITI CHA UDIWANI KAIMU MKURUGENZI WA WILAYA YA RUNGWE GWABO MWANSANSU AMBAYE NDIYE MSIMAMIZI WA UCHAGUZI AMESEMA VITUO VYA KUPIGIA KULA VILIKUWA SITA KATIKA KATA YA MALINDO NA VILIFUNGULIWA MAPEMA ASUBUHI NA WANANCHI WALIOJITOKEZA KUPIGA KULA HIVYO KUFIKIA TAMATI YA KUTANGAZA AMBAPO NELSON MWAIKAMBO AMEIBUKA MSHINDI WA KITI CHA UDIWANI KATA YA MALINDO

KINGOTANZANIA
Post a Comment