Monday, February 10, 2014

MBEYA CITY NA MTIBWA ZAINGIZA MILIONI 25.6

Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya  Ahmed  Msangi  akikagua timu ya Mbeya city


Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya  Ahmed  Msangi  akikagua timu ya Mtibwa

 Mbeya City 

Mtibwa Sugar

JUMLA  ya shilingi milioni  25,602,000 zimepatikana katika mechi ya Mbeya City na Mtibwa Sugar iliyochezwa katika uwanja wa kumbukumbu wa Sokoine  timu  ya Mbeya City kwa  goli 2 - 1.

Na Mbeya yetu
Post a Comment