Monday, February 10, 2014

Vigogo wa TBA wahukumiwa miaka 9 Jela….Ni wale walioruhusu Ujenzi wa Jengo Linalochungulia IKULU.

VIGOGO
Vigogo wa TBA, Makumba Kimweri (kulia) na Richard Maliyaga (kushoto) wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar! 
 
VIGOGO wa Wakala wa Majengo (TBA), Makumba Kimweri na Richard Maliyaga walioruhusu ujenzi wa jengo linalochungulia Ikulu wamehukumiwa kwenda jela miaka 9 kila mmoja au kulipa faini ya shilingi milioni 15 kila mmoja na Hakimu Sundi Fimbo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar!
Post a Comment