Friday, February 7, 2014

MOTO WAZIDI KUPAMBA KANISA LA MORAVIAN MBEYA WAKRISTO WA SHIRIKA MBALIMBALI WAANDAMANA KUJUA HATMA YA MWENYEKITI WAO ALIEVULIWA MADARAKA NA KUPANGIWA KAZI NYINGINE ISIVYO HALALI KIKATIBA

Baadhi ya washirika wakiwa nje ya ofisi za jimbo la Moravian kujua kulikoni kutimuliwa kwa Mwenyekiti wao

Mwenyekiti wa Mabaraza ya wazee   Franky Phiri akitoa tamko kwa niaba ya wajumbe wengine mbele ya kaimu mwenyekiti wa jimbo  Bwana Zacharia Schone  
Kaimu mwenyekiti wa jimbo Bwana Zacharia Schone akijaribu kuwafafanulia jambo baraza la wazee


Mwenyekiti wa Mabaraza ya wazee   Franky Phiri akimkabidhi  tamko lao kaimu mwenyekiti wa jimbo  Bwana Zacharia Schone  
Na Mbeya yetu
Post a Comment