Monday, February 24, 2014

walengwa wa katiba mpya,..je wajumbe wa bunge la katiba wanalitambua hili?

WALENGWA WA KATIBA MPYA
Binti huyu analipwa ujira wa sh 50 kwa kila tofari mbili anazobeba kupeleka umbali wa mita kama 500 lakini Kuna Mibunge ya katiba inagomea posho ya sh 300,000/= kwa siku yaani bora Mweshimiwa Rais alivunje bunge Hilo la katiba


np_803b2.png
Post a Comment