Wednesday, March 19, 2014

Huu ni uandishi wa hovyo hovyo kwenye mambo ya msingi...


maggid_d626c.jpg
Warioba na kukata ngebe wapi na wapi ? Hapa hakuna Simba kukata ngebe za Yanga na kinyume chake. Katiba ya ni jambo muhimu sana kwa mustakabali wa nchi. Tukemee uwepo wa ushabiki wa vyama na yote yenye kufanana na ushabiki wa Simba na Yanga...

Maggid,Dar es salaam
Post a Comment