Tuesday, March 25, 2014

Juma Liganja Today ; Mwaka 1984 tu hapa Wabunge walikuwa wanapanda mabasi kwenda bungeni Dodoma, leo kila Mbunge ana Shangingi la milioni 200 halafu Warioba anatwambia Serikali Tatu haina gharama ila itaongezeka kiduchu..... aaaaah hakuna kidogo kwenye serikali, hilo ni janga kama sio baraaah!


Sio siku nyingi 1984 tu hapa Wabunge walikuwa wanapanda mabasi kwenda bungeni Dodoma, leo kila Mbunge ana Shangingi la milioni 200 halafu Warioba anatwambia Serikali Tatu haina gharama ila itaongezeka kiduchu..... aaaaah hakuna kidogo kwenye serikali, hilo ni janga kama sio baraaah!

Post a Comment