Monday, March 24, 2014

KAMATI ZA BUNGE MAALUM ZAFANYA UCHAGUZI WA WENYEVITI NA MAKAMU WENYEVITI WAO

1 Mwenyekiti wa muda wa kamati No. 10 ya Bunge Maalum akitoa maelekezo ya namna ya kufanya uchaguzi wa mwenyekiti wakati kamati hiyo ilipokutana katika ukumbi wa St. Gasper kuchagua Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo.2  
Mjumbe wa Bunge Maalum Prof. Makame Mbarawa akiomba kura kwa wajumbe wa kamati No. 1 ya Bunge Maalum kwa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Muda Mhe. Ally Keissy Mohamed na Katibu wa Kamati hiyo James Warbag wakimsikiliza kwa makini.3 (1) Wajumbe wa Kamati wakipiga kura8 
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti katika kamati No. 10 ya Bunge Maalum la Katiba Prof. Ibrahim Lipumba akimpongeza Mhe. Anna Abdalah  baada ya kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo.
Picha na Owen Mwandumbya – Sekretariat ya Bunge Maalum

No comments: