Friday, March 28, 2014

SIRI IMEFICHUKA,BAADA YA KIKAO CHA SIRI CHA LISSU NA MWIGULU,CHADEMA (UKAWA) WADHAMILIA KUMUADHIBU LISSU DODOMA,WAZOZANA NA MBOWE KIKAONI

 

Katika hali inayonekana ni Gonjwa lile lile la anayepingana na Kauli ya Mwenyekiti wa CHADEMA kubambikiwa Usaliti ama Kanunuliwa na CCM limeendelea Mjini Dodoma kwenye Bunge Maalumu la Katiba.

Mwenyekiti wa CHADEMA na Wanaojiita UKAWA Mh.Freeman Mbowe na Wabunge wa CHADEMA wenye Mlengo wa Mbowe Wamevurugana na Mh.Tundu Antipas Lissu kwenye kikao cha Juzi na Jana baada ya Lissu Kupendekeza Wazo jema mbele ya Kikao cha UKAWA kwamba Wapinzani wamekuwa Wakisililizwa sana kuanzia Mchakato wa Katiba Uanze na mara kadhaa wamekutana na Rais kusikilizwa hoja zao na zimekuwa zikitendewa kazi..Vilevile tangu Bunge la Katiba lianze UKAWA wamekuwa wakisikilizwa sana kuanzia Mwenyekiti wa Muda Mh.Pandu Kificho ba sasa Mh.Sitta.

Lissu anasema Kwakuwa tumekuwa tukisikilizwa sana "TAKE" hivyo kwenye hili la Kura ya Siri acha na sisi turuhusu pendekezo lao la kura ya Wazi au Kuwe na Uhuru wa Kupiga Kura(Siri na Wazi Zitumike pamoja ilokuondoa mvutano huu bungeni).

No comments: