Friday, March 21, 2014

UEFA: MOYES MAJARIBUNI, APANGIWA BAYERN, BARCA VS ATLETICO MADRID, REAL MADRID VS DORTMUND….!!

Holy grail: The Champions League trophy in Nyon, Switzerland ahead of the draw
Mwari huyo!: Kombe la ligi ya mabingwa barani Ulaya likiwa limewekwa  Nyon, Switzerland wakati wa droo mchana huu
In the mix: Wayne Rooney and Manchester United are outsiders for the competition after scraping throughWayne Rooney na  Manchester United watautafuna mfupa wa Bayern Munich?
 
 DROO YA ROBO FAINALI IMEMALIZIKA HIVI
Barcelona vs Atletico Madrid
Real Madrid vs Borussia Dortmund
Paris Saint-Germain vs Chelsea
Manchester United vs Bayern Munich
Mechi za kwanza zitachezwa mwezi wa nne tarehe 1 na 2, wakati mechi za marudiano zitapigwa mwezi wa nne tarehe 8 na 9.
David Moyes alifuzu kwa juhudi kubwa baada ya kushinda mabao 3-0 dhidi ya  Olympiacos  dimba Old Trafford ambapo mechi ya kwanza nchini Ugiriki alipigwa 2-0. Lakini sasa amepewa kazi nyingine ngumu zaidi kama anataka kufuzu nusu fainali.
Moyes ambaye bado yupo katika msongo wa mawaza kufuatia kipiga cha 3-0 kutoka kwa Liverpool wiki iliyopita, atakutana na kocha wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola ambaye sasa yupo Allianz Arena.
Bayern ambao waliwatupa nje Man United mwaka 2010 walikuwa wa kwanza katika kundi lao lililokuwa na klabu za Manchester City, CSKA Moscow na Viktoria Plzen.
Happy? Samuel Eto'o and Chelsea eased past Galatasaray in the round of 16 after a 2-0 win at Stamford Bridge
Amefurahi? Samuel Eto’o na Chelsea yake wameliwatoa  Galatasaray baada ya kuwafumua mabao  2-0  uwanjani  Stamford Bridge hatua ya 16.
Big boys: Real Madrid's Cristiano Ronaldo (right) and Gareth Bale are looking to deliver another trophy
 Vijana wakubwa: Nyota wa Real Madrid,  Cristiano Ronaldo (kulia) na Gareth Bale wanatafuta kombe lingine
Defending champions: Bayern Munich looked at their fearsome best at times against Arsenal
 Mabingwa watetezi!: Bayern Munich walifuzu robo fainali baada ya kuwalowesha Arsenal
Fancy Zlat: Paris Saint-Germain eased past Bayer Leverkusen in the round of 16 gameHatari sana!: Zlatan na Paris Saint-Germain yake walifuzu baada ya kuwatoa  Bayer Leverkusen 
Don't forget us: Lionel Messi and Barcelona held off Manchester City to progress
Usitusamehe: Lionel Messi na Barcelona yake waliwatungua  Manchester City na kufuzu robo fainali

No comments: