Saturday, March 8, 2014

WANAWAKE WILAYA YA RUNGWE MKOANI MBEYA WAADHIMISHA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI WAKIONGOZWA NA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA, MAADHIMISHO YAMEFANYIKA KATA YA MPUGUSO USHIRIKA TUKUYU

MKUU WA WILAYA CHRISPIN MEELA AKITAMBULISHWA NA MWENYEKITI WA VIKUNDI VYA WANAWAKE WILAYA YA RUNGWE HAWA RAJABU KABLA HAJAPATA NAFASI YA KUKAGUA BIDHAA ZINAZOTENGENEZWA  NA VIKUNDI VYA WANAWAKE WILAYA YA RUNGWE

MOJA YA BIDHAA ZILIZO ANDALIWA NA KUTENGENEZWA  NA KIKUNDI CHA AKINA MAMA WA MPUGUZO WILAYANI RUNGWE


KULIA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE AKIANGALIA WINE INAYOTENGENEZWA NA AKINA MAMA WA RUNGWE

CHRISPIN MEELA AKIJALRIBU KUVAA KOFIA ILIYOTENGENEZWA KWA JANI LA MGOMBA IKIWA IMEMPENDEZA ALIPOVAA NA KUVISHWA SHADA LA MAUA YA ASIRI YA RUNGWE

BURUDANI YA NGOMA YA ASILI YA WANYAKYUSA LINGOMA IKITUMBUIZA KATIKA SIKU YA MADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI


MKUU WA WILAYA YA RUNGWE AKIONGEA NA AKINA MAMA WA WILAYA YA RUNGWE PAMOJA NA WATU WALIOHUDHURIA MAADHIMISHO HAYA YA SIKU YA WANANWAKE DUNIANI

KABLA YA SIKU YA MAADHIISHO WANAWAKE UMOJA WA WANAWAKE WILAYA YA RUNGWE WALIPATA NAFASI YA KUKUSHIRIKI KUTOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE TUKUYU KWA KUWAONA WAGONJWA NA KUWAPA ZAWADI MBALIMBALI

KUSHOTO NI RECHO AMBAYE NI AFISA MAENDELEO WANAWAKE NA WATOTO WA WILAYA YA RUNGWE AMBAPO KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE WILAYA YA RUNGWE AKIONGEA NA BAADHI YA WANAWAKE WALIOFIKA KUWASALIMU WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA MAKANDANA TUKUYU MJINI

KUSHOTO MMOJA WA WA WAGONJWA KATIKA WODI YA AKINA MAMA AKIPOKEA SABUNI KAMA ISHARA YA UPENDO KUTOKA KATIKA UMOJA WA WANAWAKE WILAYA YA RUNGWE

"UGUA POLE" AKISIKIKA AFISA MAENDELEO WANAWAKE NA WATOTO WILAYA YA RUNGWE WALIPOTEMBELEA KUWAONA WAGOJWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE

UGUA POLE
MMOJA WA WAUGUZI WALIOKUWA ZAMU  GLACE MSHANGA AKIWASHUKURU UMOJA WA KINA MAMA WILAYA YA RUNGWE KU KUWA NA MOYO WA HURUMA KUAMUA KUWATEMBELEA WAGOJWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE AMEWATAKA KUWA NA MOYO WA UPENDO KWA WAHITAJI WENGINE KWAKUWA UPENDO KWA MTU NI TIBA TOSHA
Post a Comment