Tuesday, April 29, 2014

ABIRIA 55 WANUSURIKA KIFO NI BAADA YA BASI LA HOOD KUTOKA MBEYA LIKIELEKEA ARUSHA KUTEKETEA KWA MOTO


Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele-Chalinze Mkoani Pwani.

KINGOTANZANIA

No comments: