Wednesday, April 9, 2014

HALMASHAURI YA BUSOKELO WILAYA RUNGWE WAPATA MKURUGENZI MPYA SAID MDERU BAADA YA IMELDA ISHUZA KUSTAFU KWA MUJIBU WA SHERIA ZA TANZANIA

ALIYEKAA NDIO MUAGWA IMELDA ISHUZA AKIWA NA WATENDAJI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO ALIYEVAA SUTI NDIYE ALIYEKAIMU KABLA YA KUMPATA MKURUGENZI MPYA SAID MDERU

IMELDA ISHUZA AKIPEWA NG"OMBE KAMA ZAWADI KUTOKA HALMASHAURI YA BUSOKELO

SAID MDERU WA PILI KULIA MWENYE SUTI NA MKEWE MWENYE NGUO NYEKUNDU AKIKARIBISWA RASM NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO MECKSON MWAKIPUNGA

WAKUU WA IDARA WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WAKIWA MAKINI KUSIKILIZA HOTUBA YA KUMUAGA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WILAYANI RUNGWE

MADIWANI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO WAKIWA WAMESIMAMA KWA AJILI YA UTAMBULISHO KATIKA SHEREHE FUPI YA KUMUAGA MKURUGENZI IMELDA ISHUZA NA KUMKARIBISHA MKURUGENZI MGENI SAID MDERU

KULIA IMELDA ISHUZA ALIYEKUWA MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO NA MWENYE SUTI NI MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO SAID MDERU AMBAYE ANAKARIBISHWA KUIONGOZA HALMASHAURI YA BUSOKELO BAADA YA IMELDA ISHUZA BAADA YA KUSTAFU KWA MUJIBU WA SHERIA YA TANZANIA

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO MECKSON MWAKIPUNGA AKIONGEA KWENYE SHEREHE ALIYOIANDAA YA KUMUAGA IMELDA ISHUZA NA KUMKARIBISHA MKURUGENZI SAID MDERU KUIONGOZA HALMASHAURI YA BUSOKELO

MUAGWA IMELDA ISHUZA AKIONGEA NA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI WA BUSOKELO NA WAGENI WAALIKWA AKISHUKURU KWA USHIRIKIANO WA KAZI KWA KUIONGOZA HALMASHAURI YA BUSOKELO PAMOJA NA CHANGAMOTO ZA UPYA WA HALMASHAURI HIYO LAKIN KWA PAMOJA WALIKUWA WANAFANYA KAZI KWA MASLAHI YA WANANCHI

SAID MDERU MKURUGENZI MGENI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO AKIONGEA NA WAFANYAKAZI PAMOJA NA MADIWANI WA BUSOKELO NA WAGENI WAALIKWA AKIWASHUKURU KWA MAPOKEZI MAZURI NA AMEWATAKA USHIRIKIANO KATIKA KAZI KWA AJILI YA KULETA MAENDELEO KWA WANANCHI WA BUSOKELO

MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO MECKSON MWAKIPUNGA AKILISHWA KEKI NA MUAGWA IMELDA ISHUZA IKIWA NI ISHARA YA UPENDO NA UKARIMU ALIOUPATA AKIWA MKURUGENZI WA BUSOKELO KATIKA KUFANYA KAZI ZA WANANCHI

UKAFIKA MUDA WA BURUDANI

KULIA IMELDA ISHUZA AKICHEZA KWA FURAHA HADI CHINI NA BAADHI YA WAFANYAKAZI WA HALMASHAURI YA BUSOKELO

Post a Comment