Wednesday, April 9, 2014

MAENDELEO KIJIJINI YANALETWA NA WAZALENDO WANAOJUA KUJITOLEA

KUSHOTO NI KAIMU MWENYEKITI WA KIJIJI MTAA WA BULYAGA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MR MWAIKONYOLE  AKIWA NA MR KINGO SIKU YA KUJITOLEA KWA MAENDELEO YA KUJENGA BARABARA ZA MTAA WA BULYAGA TUKUYU WILAYANI RUNGWE
VIJANA WA MTAA WA BULYAGA WALIO WAZALENDO WA KUJITOLEA KAZI ZA KIJAMII KATIKA MTAA WAO WA BULYAGA TUKUYU MJINI

KULIA NI DIWANI AKIWA SAMBAMBA NA WANANCHI WAKE WA MTAA WA BULYAGA KATIKA SIKU KUTOLEA KWA MAENDELEO YA KUJENGA BARABARA YA MTAA WA BULYAGA KATI


KAZI INAENDELEA

BAADA YA KUHAIRISHA KAZI YA UJENZI WA BARABARA MUDA WA MATANGAZO UNAPATIKANA NA WANANCHI WANANCHANGIA MAWAZO YA KUENDELEZA  MTAA WA BULYAGA  KWA KUAMUA KUIMARISHA ULINZI SHIRIKISHI, KUJIANDIKISHA KILA KAYA KWENYE DAFTARI LA MTAA NA WAPANGAJI WAO HUKU KILA MGENI ANAYELALA KATIKA MOJA YA NYUMBA LAZIMA UONGOZI WA MTAA KUJUA ILI KUWEKA USALAMA WA WAKAZI WA MTAA WA BULYAGA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA HUKU WALE WOTE AMBAO HAWAJAFIKA KATIKA SIKU YA MAENDELEO WANATAKIWA KUTOA TSH 5000/=

Post a Comment