Tuesday, April 15, 2014

HALMASHAURI YA RUNGWE YAONDOA KERO KUBWA YA UBOVU WA BARABARA ZA MJI WA TUKUYU WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA SASA KUJENGWA KWA KIWANGO CHA RAMI

OFISI YA HALMASHAURI YA RUNGWE MKOA WA MBEYA

KIELELEZO CHA MKANDARASI ANAYETEKELEZA MRADI WA UJENZI WA MARABARA ZA MJI WA TUKUYU KWA KIWANGO CHA RAMI
HAPA NI BARABARA KUTOKA KIPLEFTI YA TUKUYU KUELEKEA NJA PANDA YA PILISI TUKUYUHAPA NI KUTOKA NJIA PANDA YA BARABARA KUU MAKANDANA TUKUYU KUELEKEA HOSPITALI YA WILAYA YA RUNGWE NA BARABARA NYINGINE NI KUTOKA OFISI YA HALMASHAURI KUELEKEA OFISI YA MKUU WA WILAYA YA RUNGWE HADI NJIA PANDA YA MAGEREZA TUKUYU
KINGOTANZANIA - 0752881456
Post a Comment