Tuesday, April 15, 2014

TAIFA STARS MABORESHO YAELEKEA KWENYE MCHUJO WA KUBAKI WACHEZAJI 15 WAFANYA MAZOEZI KWA BIDII HUKU WAKIKABILIANA NA HALI YA HEWA YA MVUA NA BARIDI WILAYANI RUNGWE MKOA WA MBEYA

MVUA ZINAZOENDELEA KUNYESHA KATIKA MJI WA TUKUYU WILAYA RUNGWE ZASABABISHA BARABARA YA MSASANI TUKUYU AMBAPO NDIO KUNA UWANJA WA MICHOZO TIMU YA TAIFA SATAS MABORESHO WANAFANYIA MAZOEZI, NA KUSABABISHA BASI LINALOBEBA WACHEZAJI KUKWAMA KWA SIKU MBILI NA VIJANA KUTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA HOTEL LANDMARK HADI UWANJANI IKIWA NI SEHEMU PIA YA MAZOEZI YAO

VIJANA WAZALENDO WA TUKUYU WAKAFANIKIWA KULINASUA GALI HILI HAPA BAADA YA KUHANGAIKA KWA MUDA MLEFU KUTOKAMNA NA MVUA ZINAZO NYESHA KWA MFURULIZO

AKIONGEA NA KINGOTANZANIA TIMU MANEGER WA TAIFA STARS MABORESHO BONIFACE CLEMENCE AMESEMA KUWA KAMBI INAYOENDELEA YA KUIBORESHA TIMU YA TAIFA STARS INAENDELEA VIZURI NA VIJANA WAPO KAMBINI NA WAKO SAFI PAMOJA NA VIONGOZI WAO WANA AFYA NJEMA HUKU WAKIPATA HUDUMA ZA CHAKULA NA MALAZI  ZINAZOSTAHIRI ZENYE UBORA. PIA BONIFACE AMESEMA KUWA SAIDI WANAELEKEA KWENYE MCHUJO WA WACHEZAJI ILI WABAKI WACHEZAJI 15 WATAKAO UNGANA NA WENZAO WATAKAO CHAGULIWA KUJA KUJIUNGA NA HAWA

HAPA NDIPO CHUO CHA UALIMU TUKUYU AMBAPO TIMU YA TAIFA STARS MABORESHO WANAFANYA MAZOEZI
BAADHI YA WACHEZAJI WAKIELEKEA UWANJANI KWA AJILI YA MAZOEZI WANATEMBEA KWA MGUU KWAKUWA GALI IMEPATA SHIDA YA KUKWAMA KUTOKANA NA MVUA NYINGI ZINAZONYESHA MJINI TUKUYU
KOCHA WA TAIFA STARS MABORESHO AKIWA NA DR WA TIMU WAKIONGEA JAMBO NA WACHEZAJI BAADA YA KUFANYA MAZOEZI YA NGUVU

KOCHA WA TIMU YA TAIFA STARS MABORESHO DANNY KOLOSO AMESEMA KUWA VIJANA WOTE NI WACHEZAJI WAZURI LAKIN KUNA WANAO WAZIDI WENZAO HAO NDIO WATAKAO ENDELEA NA KAMBI AMBALO WACHEZAJI WATAKAO CHAGULIWA WATAUNGANA NA WENZAO WALIO CHAGULIWA WAKITOKEA LIGI KUU. KOLOSO AMESEMA KUWA WANAKABILIANA NA CHANGAMOTO YA HALI YA HEWA MVUA NYINGI NA BARIDI JAPO AMESEMA KUWA HII NI HALI YA HEWA NZURI KWA WACHEZAJI ILI KUJENGA MIILI NA PUMZI. ILA AMEWATAKA WATANZANIA KUWA WAVUMILIVU SANA KATIKA KUANDAA TIMU BORA ILA KWAKUANZIA AMESEMA WATANZANIA WATEGEE KUWA NA TIMU NZURI YA TAIFA

BENCHI LA UFUNDI LA TAIFA STARE MABORESHO

KUSHOTO KOCHA KOLOSO AKIONGEA NA KINGOTANZANIA NA AKIMUONYESHA VIJANA WALIVYO NA UWEZO WA ZIADA KATIKA KUSAKATA  KANDANDA

HAPA NI LANDMARK HOTEL TUKUYU WILAYANI RUNGWE AMBAPO  TIMU YA TAIFA STARS YA MABORESHO WAMEWEKA KAMBI KWA MUDA WA MIEZI MIWILI
KINGOTANZANIA  - 0752 881456
Post a Comment