Wednesday, April 2, 2014

JK atembelea Aberdeen, Scotland

unnamed_ca9f2.jpg
Rais Jakaya Kikwete akijaribu kuendesha mfano wa mtambo wa kufundishia namna ya kuchimba mafuta katika visima vilivyo bahari kuu alipotembelea Chuo Kikuu cha Robert Gordon, Aberdeen, Scotland. Nyuma yake ni ujumbe alioongozana nao akiwemo Professa Sospeter Muhongo na Nassor Ahmed Mazrui. Wanafunzi zaidi ya 20 wa Kitanzania wamepata udhamini wa masomo katika chuo hicho.
.hotuba_66f0f.jpg
Rais Kikwete akihutubia kundi la wabunge wa vyama mbalimbali vya siasa walio marafiki wa Tanzania pamoja na wanachama wa Britain and Tanzania Society.
picha_pamoja_e7606.jpg
Rais JK akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa vyama mbalimbali vya siasa nchini Uingereza.
Post a Comment