Sunday, May 4, 2014

KINANA AWAHUTUBIA MAELFU UWANJA WA KIBANDAMAITI ZANZIBAR LEO

Kinana akihutubia Kibandamaiti, Zanzibar leo 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia  kwenye mkutano wa hadhara wa CCM  leo, May 4, 2014, kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, mjini Zanzibar.
Umati uliohudhuria kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliohutubiwa na Kinana leo, May 4, 2014, kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, mjini Zanzibar.  2(13) 
Watu wengi wakiwa wamejitokeza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM , May 4, 2014, kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, mjini Zanzibar. 

Post a Comment