Sunday, May 4, 2014

Red Cross wazindua maadhimisho ya siku Red Cross duniani, yanayofanyika mkoani Mbeya

Maandamano ya skauti na shule mbalimbali za sekondari yakiingia katika viwanja vya Ruanda Nzovwe kwa ajili ya uzinduzi wa siku ya Msalaba mwekundu duaniani


Rais wa chama cha Msalaba mwekundu nchini Dkt George Nangale akipokea maandamano
Rais wa chama cha Msalaba mwekundu nchini Dkt George Nangale akiwahutubia wananchi katika uzinduzi huo

Mwenyekiti Mkoa wa Mbeya, Ulimboka Mwakilili akimkaribisha Rais wa shirika hilo, George Nangale!!


Viongozi wa chama cha Msalaba mwekundu wakiwa wameshikana mikono kuashiria umoja na mshikamano

Mgani rasmi akisalimiana na wachezaji kabla ya kuzindua michezo mbalimbali itakayoshindaniwa kwa wiki nzima ya maadhimisho ya Red Cross mkani hapaNa Mbeya yetu
Post a Comment