Tuesday, May 20, 2014

WAJASIRIAMALI WALEMAVU WAFUNGA BARABARA KWA MUDA WA MASAA MATATU JIJINI DSM

 1 (17)
KUNDI la watu walemavu, wajasiriamali na  wafanyabiashara ndogo ndongo wamefunga makutano ya barabara ya Kawawa na Uhuru (Karume) kwa muda wa saa tatu wakishinikiza Serikali iwapatie maeneo ya kufanyia biashara baada ya kuwaondoa katika eneo la Mtaa wa Kongo Kariakoo jijini Dar es Salaam.


2 (17) 3 (10) 6 (4) 9 (1) 10 (2) 
Post a Comment