Monday, June 23, 2014

MSIBA RUNGWE - KATIBU TAWALA WILAYA YA RUNGWE ALINANUSWE MWALUFUNDA AFARIKI KATIKA HOSPITAL YA WILAYA TUKUYU MAZISHI TAREHE 24.06.2014 NYUMBANI KWA WAZAZI WAKE MBEYA MJINI.

MWILI WA MAREHEMU ALINANUSWE MWALUFUNDA UKIHIFADHIWA KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI KATIKA HOSPITAL YA TUKUYU WILAYANI RUNGWE
KUSHOTO NI ALINANUSWE MWALUFUNDA ALIYEKUWA KATIBU TAWALA WILAYA YA RUNGWE (DAS) ENZI ZA UHAI WAKE AKIWA KATIKA SHEREHE YA MUUNGANO


MR BENNY KULIA AKIWA NA MZEE MWALUFUNDA MZAZI WA ALINANUSWE MWALUFUNDA ALIYEFARIKI KATIKA HOSPTAL YA WILAYA YA RUNGWE  MAKANDANA TUKUYUMWILI WA MAREHEMU ALINANUSWE MWALUFUNDA UKITOLEWA WODINI KUPELEKWA KATIKA CHUMBA CHA KUHIFADHIA MAITI ILI KUSUBIRI TARATIBU ZA MAZISHI

BAADHI YA WAFANYAKAZI WA WILAYA YA RUNGWE WAKIAGA MWILI WA MAREHEMU ALINANUSWE MWALUFUNDA ALIYEFARIKI KATIKA HOSPITAL YA WILAYA YA RUNGWE TUKUYU TAYARI KWA SAFARI YA KUELEKEA MBEYA MJINI KWA MZAZI WAKE NA MAZIKO YATAFANYIKA MBEYA MJINI SIKU YA JUMANNE TAREHE 24,06.2014
KINGOTANZANIA - 0752881456
Post a Comment