Monday, June 23, 2014

SHUKRANI; MAANDIKO MATAKATIFU YANASEMA SHUKURUNI KWA KILA JAMBO - NAWASHUKURU WATU WOTE KWA MAOMBI YENU NA PIA KWA KUGUSWA KWA KILA HARI NAWASHUKURU SANA MUNGU NI MWEMA SASA NAENDELEA VYEMA JAPO BADO NIPO CHINI YA UANGALIZI WA MADAKTARI ILI HARI ILEJEE VYEMA NA NIANZE MAJUKUMU YA KAZI

WAKATI MGUMU WA KUSAIN HATI YA KUKUBARI LOLOTE KUTOKEA ( HATA KIFO) KABLA YA KUINGIZWA CHUMBA CHA UPASUAJI AMBAPO NI KWA MAOMBI YA WATU TU MUNGU AKASIMAMIA OPARATION YA UTUMBO MKUBWA AMBAO NILIPATA SHIDA YA KUWA NA VIDONDA NA UVIMBE NA MUNGU MWEMA  NA NIKATOKA SALAMA

MKE NA MUME ENG UWEZO MWALWEGA NA MKEWE DR MAGE WAKINISINDIKIZA UWANJA WA NDEGE DSM IKIWA NI SAFARI YA KURUDI MBEYA TUKUYU KUUNGANA NA FAMILIA YANGU  BAADA YA MATIBABU YA MIEZI MIWILI

KINGO NA MKE WA MDOGO WANGU UWEZO DR MAGE (MAMA K )KULIA NI RAFIKI YANGU ALLY MWANYOMBOLE  KUTOKA TUKUYU ALIFIKA UWANJA WA NDEGE WA SONGWE KUNIPOKEA KWA GHARAMA ZAKE MUNGU AMBARIKI RAFIKI YANGU KWA MOYO WA UPENDO ALIONAO
MUNGU NA AWABARIKI SANA WOTE
ALLY KINGO
0752881456
Post a Comment