Friday, July 25, 2014

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUMBUKUMBU YA MASHUJAA 25 JULAI, 2014


PIX 9.
Raisi Kikwete akiwa na Mkuu wa majeshi katika maadhimisho ya siku ya mshujaa ambayo kitaifa yamefanyika jijini Dar Es Salaam kwenye viwanja vya mnazi mmoja.
PIX 1. 
Kikosi cha jeshi la wananchi wa Tanzania
PIX 2. (1) 
Gwaride likiendelea kwenye viwanja hivyo
PIX 8.
Raisi Kikwete akiingia kwenye viwanja vya mnazi mmoja akiwa na mkuu wa majeshi
.....................................
 

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUWAKUMBUKA MASHUJAA YAFANA MBEYA


Wakuu wa wilayaMkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiweka Ngao na Mkuki kwenye mnara wa kumbukumbu ya Mashujaa wakati wa maadhimisho ya siku ya Mashujaa leo 

Mkuu wa kikosi cha 44KJ Mbalizi Luten Kanl Malatila akiweka sime kuwakumbuka mashujaa

Meya wa Jiji la Mbeya Atanas Kapunga akiweka upinde na mshale


Mmoja wa wazee waliopigana Vita Kuu Ernest Waya(92)akiwa ameshikiliwa kwenda kuweka Shoka kwenye mnara wa kumbukumbu ya mashujaa


Chifu wa mkoa wa Mbeya Roketi Mwashinga akiweka shada la maua

Viongozi wa Madhehebu ya dini mbalimbali walitoa sala zao za kuwakumbuka mashujaa hao

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na Mzee Waya

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akisalimiana na chifu wa mkoa wa Mbeya Chifu MwashingaMkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro akiwsalimia wananchi wa mkoa wa mbeya waliohudhuria tukio hilo la kuwakumbuka mashujaa
Post a Comment