Friday, July 11, 2014

SAFARI YA MWISHO YA EMMANUEL MBUZA KATIKA PICHA



EMMANUEL JOSEPH MBUZA. Mhitimu wa sangu High school(2007), aliewahi kua Mfanyakazi wa Mbeya FM na generation FM, LLB & MBA Tumain university, Kijana mjasiliamali na mpiganaji, Katibu mwenezi wa mbeya mjini, Mkurugenzi wa Sweet fm Radio, Sweet Televission na Action Mart Group of companies (Mzaliwa wa mbeya aliekua anafanya biashara zake jijini Dar es salaam)

Mke wa maarehemu Emmanuel Mbuza akiongozwa kuweka shada la maua katika kaburi la mumewe


Kaka wa marehemu Emmanuel Mbuza, Oscar Mbuza akiongoza ndugu zake kuweka shada la maua katika kaburi la ndugu yake kwenye makaburi ya familia eneo la Kalobe Jijini Mbeya

 
 






 
 
 



Umoja wa Vijana wa CCM wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Mbuza ambaye alikuwa ni Katibu Uenezi na Itikadi wa CCM Jiji la Mbeya




 
 



 





 

  

 
Mmoja wa wanafunzi wa shule ya Msingi Umoja akimkabidhi bahasha ya rambirambi mtoto wa marehemu Mbuza, Chriprin Mbuza




Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Sambwee Shitambala akimkabidhi rambirambi kaka wa marehemu Leonard Mbuza.

Mwandishi wa habari na Mwenyekiti mstaafu wa Klabu ya Waandishi wa Habari Christopher Nyenyembe akitoa heshima mbele ya mwili wa Mbuza.






  

No comments: