Monday, July 21, 2014

USIKU MZURI WA TAMAR MSHANA KUELEKEA HARUSI YAKE NA JK (SUITBERT MAKONDA) TAREHE 26.07.2014

HONGERA SANA TAMARI MSHANA KUFIKIA SIKU YAKO HII NJEMA MBELE ZA MUNGU NA MBELE ZA WATU

TAMARI MSHANA AKIWA NA USO ANGAVU AKIWASILI UKUMBINI TAYARI KWA SHEREHE YA KUAGWA NA WAZAZI WAKE NA NDUGU NA JAMAA KABLA YA HARUSI YAKE NA SUITBERT MAKONDA

BON GE LA POZIKULIA BWANA HARUSI MTARAJIWA AKIWA NA MPAMBE WAKE LUNCHI (LUCAS NCHIMBI)

KULIA MR UWEZO AKIWA NA BWANA HARUSI MTARAJIWA KATIKA PICHA KABLA YA KUINGIA UKUMBINI AROMA TABATA DSM

IKU P AKIWA MAKINA KUFUATILIA KINACHOENDELEA KATIKA SHEREHE YA KUMUAGA TAMARI MSHANA HUKU EDWIN MATATA (TATA BOY) AKIPATA MATUKIO KWA CAMERA YAKE

KWANJA TIME

Post a Comment