Monday, August 11, 2014

HATIMAYE MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014 AKABIDHIWA ZAWADI YAKE WILAYANI UKEREWE MWANZA

 
Mama
Shujaa wa Chakula 2014  Bahati Muriga akitoa neno la Shukurani Baada ya Kukabidhiwa zawadi rasmi zawadi zake Wilayani kwake Ukerewe
Eluka Kibona kutoka Oxfam akimkabidhi ufunguo wa Pikipiki Mshindi wa Mama shujaa wa Chakula
 Mama
Shujaa wa Chakula 2014 Bahati Muriga akisaini kupokea zawadi zake
kutoka OXFAM kupitia Programu ya GROW, Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo Inalipa.
Bwana
Hamis Kombo muwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe akitoa salamu za pongezi kwa Mama Shujaa wa Chakula 2014 pia kuwashukuru OXFAM kwa kutoa zawadi hizo.
Bahati Muriga akijaribisha kuiwasha Pikipiki yake Mara baada ya Kukabidhiwa
 Bahati Muriga akifurahia zawadi zake
 
 Kulwa Kizenga wa kwanza kushoto  na Eluka Kibona kutoka OXFAM  wakimkabidhi zawadi Bahati Muriga
 Mkamiti Mgawe wa kwanza kushoto kutoka OXFAM akiwa na Mama shujaa wa Chakulaa
Zawadi alizopokea Mama Shujaa wa Chakula.
Post a Comment