Friday, August 8, 2014

MARAIS WA NCHI ZA AFRIKA MASHARIKI WAKUTANA NA WAWEKEZAJI MAREKANI

e2 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Marais wa nchi za Jumuiya ya Mashariki, Mhe Paul Kagame wa Rwanda, Mhe Yoweri Museveni wa Uganfda, Mhe Uhuru Kenyatta wa Kenya na MhePierre Nkurunzinza wa Burundi wakati wa mkutano wao na wawekezaji wa Kimarekani uliofanyika katika makao makuu ya chama cha wafanyabiashara (US Chamber of Commerce) jijini Washington DC
Post a Comment