Friday, August 8, 2014

SERIKALI YAWATAKA VIJANA KUCHAPA KAZI KWA BIDII

Pix 1
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel akitoa hotuba wakati wa kufunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana International Youth Fellowship (IYF) katika Ukumbi wa Milimani City Jijini Dar es Salaam. 
Pix 2
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akipokea tuzo kwa niaba ya Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kama waziri mwenye dhamana ya kusimamia masuala ya Vijana kutoka kwa Meneja wa IYF kanda ya Chungcheong China Bw. Jung Soo Park wakati wa kufunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini Dar es Salaam Pix 3
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (kulia) akizungumza na Makamu Mwenyekiti kutoka kampuni ya Acona .Bw. David K.S. Kim wakati wa kufunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini Dar es Salaam.
Pix 4
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (watatu kulia) akipeana mikono na Makamu Mwenyekiti kutoka kampuni ya Acona Bw. David K.S. Kim baada ya mazungumzo wakati wa kufunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini Dar es Salaam. Wakwanza kulia ni Mwenyekiti wa IYF Tanzania Dr. Kansolele Ntevi, na wapili kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana Dr. Kisui S. Kisui, wakwanza kushoto ni Makamu wa Rais kutoka kampuni ya Acon Bw. Wan Gi. Kim na anayefuatia ni Rais wa kampuni ya Uhandisi na Ujenzi kutoka Korea Bw. KI TAE, KIM.
Pix 5\
Baadhi ya Vijana kutoka mikoa mbalimbali nchini Tanzania na nje ya nchi wakifuatilia kwa makini matukio yaliyokua yakiendelea wakati wa kufunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini Dar es Salaam.
Pix 6
Vijana kutoka Graciosas Kwaya kutoka Korea wakitoa burudani wakati wa kufunga Kambi ya Kimataifa ya Vijana katika Ukumbi wa Milimani City leo Jijini Dar es Salaam.
Post a Comment