Friday, August 15, 2014

MKUU WA CHUO CHA UALIMU TUKUYU MR MATHIAS MVULA AAGWA RASMI NA KUKARIBISHWA MR UBAYA SULEIMANI KUWA MKUU WA CHUO CHA UALIMU TUKUYU

MR MATHUAS MVULA MKUU WA CHUO CHA SONGEA KWA SASA AKITOA NENO LA SHUKRANI KWA WALIMU NA WANAFUNZI PIA WAGENI WAALIKWA KWA KUSHIRIKIANA KATIKA KUENDELEZA JUKUMU LA KUTOA ELIMU KWA VIJANA WA KITANZANIA

MR UBAYA SALUM SULEIMAN AMBAYE NDIO MKUU WA CHUO CHA UALIMU TUKUYU. AKITOA NENO AMESEMA KUWA TUKOPESHANE USHIRIKIANO ILI MWISHO TULIPE MAENDELEO AMBAYO NDIO FAIDA KWA WATANZANIA


BAADHI YA WALIMU NA WATUMISHI WA CHUO CHA UALIMU TUKUYU

KATIKA SUALA LA ELIMU KITU CHA KWANZA NI KUJIFUNZA UZALENDO HASA KUTII NEMBO ZA TAIFA HASA BENDERA YA TAIFA NA KUUJUA WIMBO WA TAIFA KWA KUUIMBA KWA KUMAANISHAMWL MSTAFU WILLIAM MWANJALILA AKITOA NASAHA KWA NIABA WA WAGENI WAALIKWA  KWA MUAGA MR MVULA NA KUMKARIBISHA MKUU WA CHUO         MR UBAYA SULEIMAN

MOSSES MWIDETE AMBAYE NI MWENYEKITI WA BODI YA CHUO CHA UALIMU TUKUYU
BAADHI YA WAGENI WAALIKWA WAKIWA KATIKA SHEREHE YA KUAGA NA KUKARIBISHWA MKUU WA CHUO CHA UALIMU TUKUYU

WAGENI WAALIKWA WALIMU NA BAADI WA WANAFUNZI WA CHUO WAKIWA KATIKA SHEREHE YA KUMKARIBISHA MR UBAYA NA KUAGWA MR MVULA
KINGOTANZANIA - 0752 881456
Post a Comment