Sunday, October 19, 2014

SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR


Kikosi cha timu ya Simba kilichoanza leo dhidi ya Yanga SC katika Uwanja wa Taifa Dar.

Kikosi cha timu ya Yanga kilichonza dhidi ya Simba.

Mshambuliaji wa timu ya Simba, Emmanuel Okwi (kushoto) akimtoka mchezaji wa Yanga.

Kiungo mshambuliaji wa timu ya Simba, Elias Mabula akiwatoka
Kiungo wa timu ya Simba,Amri Kiemba akuchuana vikali na Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Andrey Coutinho wakati wa mtanange wa watani wa Jadi Yanga na Simba uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara.Timu hizo zimetoka sare ya bila kufungana.
Post a Comment