Tuesday, October 14, 2014

Upo Msemo usemao anayejua anajua tu!,

Mpira wa miguu ni kama Baiskeli ukisha jua kuiendesha hakuna kusahau.Mkuu wa mkoa wa Morogoro Joel Bendera na Mkuu wa Mkoa wa Dsm Meck Sadick walidhihilisha hilo mwishoni mwa wiki mjini Morogoro walipo shiriki mazoezi ya pamoja na viongozi wa Dini wa mkoa wa Dsm
Post a Comment