Tuesday, December 16, 2014

KWELI DUNIA MAPITO PUMZIKA KWA AMANI DADA FLORA LAZARO MWAIHOJO MAZIKO YAMEFANYIKA ITETE BUSOKELO WILAYANI RUNGWE

MAREHEMU FLORA MWAIHOJO ENZI ZA UHAI WAKE
JENEZA LILIOBEBA MWILI WA FLORA LIKIWA LIMEWASILI KWA MAZIKO ITETE BUSOKELO WILAYANI RUNGWE TAYARI KWA MAZIKO

FLORA AKIWA NA USO WA FURAHA NA WENZAKE

 
 
Post a Comment